Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

National Ranching Company Limited - NARCO

News

Mkurugenzi Mtendaji wa Ranchi za Taifa Bw. Mohamedi Zuberi Mbwana alishiriki kongamano la biashara Oman, lilloandaliwa kwa ushirikiano kati ya Ubalozi wa Tanzania nchini Oman,


Mkurugenzi Mtendaji wa Ranchi za Taifa Bw. Mohamedi Zuberi Mbwana alishirikikongamano la Biashara Oman, lilloandaliwa kwa ushirikiano kati ya Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, T.L.C na Serikali ya Oman ili Kuongeza Mashirikiano ya Kibiashara kati ya nchi hizi mbili zenye historia ndefu ya Mashirikiano.