Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

National Ranching Company Limited - NARCO

News

Katibu Mkuu UTUMISHI atembelea banda la NARCO LTD wiki ya Utumishi wa UMMA


Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Juma S. Mkomi ( Mwenye Kofia Nyeupe) alitembelea banda la Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited katika maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma 2025 yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Park, Jijini Dodoma na baada ya maelezo kuhusu majukumu ya NARCO aliweza kupata nyama choma kama inavyooonekana pichani.