Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

National Ranching Company Limited - NARCO

News

Mhe. Shaban Ali Othman, Waziri wa uchumi wa Bluu & Uvuvi, Zanzibar alipotembelea Banda la NARCO, Dole Zanzibar leo tarehe 09/08/2024


Mhe. Waziri alitoa ushauri kwa wataalamwa Idara ya Maendeleo ya Mifugo Zanzibar, waangalie uwezekano wa Kuanzisha Ranchi Zanzibar au Vinginevyo waangalie uwezekano wa NARCO kupewa eneo japo dogo la kufanya unenepeshaji wa Ng'ombe Zanzibar ili wananchi wapate Nyama kwa urahisi na ujuzi kwa vitendo kuhusu ufugaji wa Ng'ombe kibiashara.